virus

  1. M

    China promises to take a revenge on Australia as 62 Countries joins Corona Virus Enquiry

    A COALITION of 62 countries are now supporting Australia's call for an independent probe to investigate the causes of the coronavirus pandemic that started in Wuhan, China. But, Australian Prime Minister Scott Morrison has felt the wrath of Beijing, after China threatened to decimate his...
  2. F

    Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  3. Nigrastratatract nerve

    Protesters in the UK: The Corona Virus Pandemic is Fake

    Dozens of people have defied social distancing advice to gather at a protest against the coronavirus lockdown in London's Hyde Park. At least 19 people were arrested and several fines were issued as police off The crowd had gathered at Speaker's Corner, holding placards with slogans like...
  4. beth

    Visa vipya 23 vya Coronavirus vyatangazwa, idadi ya wagonjwa yafikia 781

    Kenya on Friday recorded 23 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 781, Health CAS Rashid Aman has said. This is out of the 2,100 samples that were tested in the last 24 hours. 11 of the cases were from Nairobi, Mombasa (5), Kajiado (3) with Kiambu and Wajir with two...
  5. R

    1918 Pandemic (H1N1 virus): How was controlled

    Mbinu za sasa kama isolation, masks etc zipo from time immemorial. Angalia age groups (bolded in red) most affected, ni zile zile kama za coronavirus -COVID-19) The 1918 influenza pandemic was the most severe pandemic in recent history. It was caused by an H1N1 virus with genes of avian...
  6. Analogia Malenga

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  7. G Sam

    Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  8. Analogia Malenga

    Secretary wa Mike Pence akutwa na maambukizi ya corona virus

    Mwanamke huyo amethibitika kuwa na CoronaVirus ijumaa, amekuwa ni mtu wa pili ambaye anafanyakazi ndani ya ikulu ya Marekani kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona == WASHINGTON – An aide to Vice President Mike Pence has the coronavirus, marking the second person in the White House...
  9. M

    Virusi vya Corona: Nadharia za kuficha ukweli zaibuka kuhusu kifo cha mtaalamu wa Corona, Bing Liu

    Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake. Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
  10. Suley2019

    VIDEO: Tazama namna Covid 19 ilivyoleta taswira mpya katika miji mbalimbali ulimwenguni

    Tazama namna Corona ilivyoathiri miji mbalimbali ulimwenguni. Janga hili limesababisha watu kuwekwa Karantini ikiwemo miji mingine kuwaamuru raia wake kutotoka nje.
  11. Barbarosa

    Kama haujui RNA na mRNA ni nini, huwezi tibu/kinga dhidi ya korona, acheni ujinga!

    Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui...
  12. M

    Nobel price -Winning Scientist who discovered HIV say Corona Virus was made in Laboratory

    In a highly significant development, Professor Luc Montagnier, the French scientist who shared the 2008 Nobel Prize in Medicine for discovery of the human immunodeficiency virus (HIV), has added his voice to those who believe the new coronavirus was created in a laboratory. Interviewed on the...
  13. simplemind

    Ufaransa kuhimiza matumizi ya baskeli kukabiliana na Corona Virus

    France to pay 50 euros per person for bike repairs to boost cycling post-lockdown "(Reuters) - France will contribute 50 euros per person towards bicycle repairs after a nationwide coronavirus lockdown ends on May 11, taking an innovative step to encourage cycling and keep cars off city...
  14. Analogia Malenga

    Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

    Comoros Kiribati Lesotho Marshall Islands Micronesia Nauru North Korea Palau Samoa Solomon Islands Tajikistan Tonga Turkmenistan Tuvalu Vanuatu #CoronaVirus wametangazwa kuwa janga la dunia, lakini bado kuna baadhi ya nchi hazijaguswa na janga hilo Kwa mujibu wa Chuo Kikuu...
  15. Analogia Malenga

    Marekani inahesabu 'Probable deaths' ya wagonjwa wa Corona Virus

    Chuo Kikuu cha John Hopkins kimeripoti jumla ya visa 1,039,909, huku vifo vikikaribia 61,000 Kwa kuwa nchi inahesabu hadi vifo vinavyotarajiwa, Chuo Kikuu cha John Hopkins nacho kitaanza kuhesabu vifo vinvyotarajiwa kwa siku, zoezi ambalo linaonekana kuja kufanya idadi kuwa kubwa zaidi Watu...
  16. Chagu wa Malunde

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  17. Trubarg

    Ugunduzi mpya: Covid-19 inaweza kusababisha mgando wa damu mwilini

    Madaktari kutoka nchi zilizoendelea wamegundua kwamba wagonjwa wengi wa Corona wanapata stroke kutokana na damu kuganda kwenye mapafu na Figo, Hali hii huwa Ni hatari iwapo clots hizo zitafika kwenye vital organs kama moyo na ubongo, hivyo kusababishia mtu kupata stroke kutokana na damu...
  18. Sky Eclat

    BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

    Coronavirus: What misinformation has spread in Africa? African countries are experiencing a rise in the number of new coronavirus cases, and many governments have been enforcing strict social distancing measures. As they prepare for a surge in cases, misleading information has been spreading...
  19. FRANCIS DA DON

    Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

    Hapo chini ni video yenye title “....Corona virus FINALLY HITS Africa” , kwa wanaoelewa hasa maudhui ya lugha ya kiingereza, ni kwamba neno FINALLY hutumika pale ambapo unakua unasubiria jambo flani kwa hamu na shauku kubwa lakini linakuwa linachelewa kutokea, na pale linapotokea ndio sasa...
  20. Return Of Undertaker

    WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

    The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today. In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has...
Back
Top Bottom