Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa.
Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...