visitjamiicheck

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutambua video zilizotengenezwa kwa AI? Shiriki kuthibitisha video hii

    Mdau Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde? Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa tukio hilo limetokea Afrika. Kipande cha video ambacho kimeibua maswali mengi kwa waliyoiona kuhoji...
  2. JamiiForums Tanzania Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza haya

    Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza 1. Makosa ya kisarufi 2. Kama tarehe inarandana na Taarifa hiyo 3. Linganisha muundo wa chapisho na machapisho rasmi ya chanzo husika 4. Kama kuna mtu amenukuliwa mtandaoni, Thibitisha kama Kweli alichapisha au kusema hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Ni upotoshaji gani uliokutana nao kwenye msimu wa usajili wa wachezaji, uchaguzi ama mlipuko wa magonjwa?

    Upotoshaji huibuka na kwenda sambamba na uwepo wa baadhi ya matukio yaliyopo kwa wakati huo. Mfano msimu wa usjili wa wachezaji, uchaguzi ama mlipuko wa magonjwa. Je, upotoshaji gani unaoukumbuka uliowahi kutokea kwenye matukio kama hayo? Na ulichukua hatua gani? Kumbuka kuthibitisha Taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Upotoshaji hufanyika kwa kuhariri maudhui halisi yaliyopo kwenye grafiki, thibitisha grafiki unayoitilia mashaka kabla ya kuisambaza

    Upotoshaji umekuwa ukifanyika katika namna tofauti tofauti ikiwemo kuhariri maudhui halisi yaliyo kwenye grafiki na kuleta maana tofauti. Wapotoshaji wanaweza kubadili neno moja kutoka katika ujumbe ulio kwenye grafiki na hivyo kuleta maana tofauti kabisa inayoweza kuzua taharuki kwa jamii...
  6. JamiiForums Tanzania Video halisi huweza kuhaririwa na kupoteza maana iliyokusudiwa kwa lengo la kupotosha, thibitisha kwanza

    Wapotoshaji wanaweza kuhariri video halisi kwa kukata vipande vidogo vidogo na kuviunganisha kwa ajili ya kuharibu maana na hivyo kuleta maana tofauti yenye lengo la upotoshaji. Thibitisha mara kwa mara iwapo utakutana na video unayoitilia mashaka, inayoonekana kuungwa ungwa, yenye mjongeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…