Hali zenu waungwana.
Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi?
Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...