Habari wakuu
Rais Museveni kaanzisha harakati za kuzuia vitendo vya ushoga nchini mwake na sisi wa kwetu kaiga ili aendane na wakati asionekane vibaya Sasa imekuwa kero.
N:B Na ninyi muwe mnaanzisha agenda zenu na kuzisimamia sio mnaiga mahali mnaanza kuleta usumbufu humu, kweli nimeamini...
Salaam wasalaam.
Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..
KUSHINDA
KUFUNGWA
DROO
ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote.
Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine.
Siwezi nikaumia kisa mpira.
Siwezi nikagombana kisa mpira.
Daima sitauwamini mchezo...
Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi
Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly.
Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now.
Napendekeza Kutolewa majibu ya...
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi.
Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi.
Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni...
KUNA VITU UKIVIPUUZA NA KUVIDHARAU VITAKUDHALILISHA TUU UTAKE USITAKE!
Anaandika, Robert Heriel.
Shahidi!
Leo sina maneno mengi, nimekula kiporo cha Wali maharage hapa, Kwa kweli ni kitamu ingawaje sipendi vile kinavyonilewesha na kunipa uvivu.
Haya ni mambo ambayo ukiyapuuza na kuyadharau...
Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu.
Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure.
Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
Wakuu habari,
Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza...
Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie.
1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA
Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana...
Top 2 zangu ni:
(1) SEX - Hii bado ina matter ila kidogo sana sio kama zamani nadhani ni kwasababu ya ubusy na kufocus zaidi kwenye majukumu ya kutafuta kipato. Kama unavoelewa too much sex huwa ina madhara hasa kwetu wanaume coz ina-drain nguvu ya mwili na akili hivyo najaribu pia kuepuka sana...
Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia...
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.
Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
Nimehudhuria kliniki kwa ajili ya mwanangu kwa miaka miwili sasa sijawahi kukutana na elimu ya malezi ya aina yoyote ile kwenye hii kliniki, kinachofanyika ni kupima uzito mtoto au kuchomwa sindano ya chanjo kwa mtoto tena bila maelezo ya kwa nini mtoto apate chanjo wala umuhimu wake.
Sote...
Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama.
Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu.
Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
Mtu mmoja kati ya watu 8 waliokamatwa, wakituhumiwa kuiba mali za waliofariki katika ajali iliyotokea Korogwe mkoani Tanga, ikihusisha gari la mizigo aina ya Fuso na gari la abiria aina ya Coaster, lililokuwa likisafirisha mwili kwa ajili ya maziko wilayani Rombo na kusababisha vifo vya watu 20...
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.