Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee..
Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa..
Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
Hiyo miaka ya 90 mzee baba.
Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili...
Sijui kuna tatizo gani, lakini leo Ijumaa Septemba 8, 2023, huku ninakoishi maeneo ya Kilungule A, Kimara, Dar es Salaam, umeme umekatika zaidi ya mara nane.
Tangu asubuhi Tanesco wanafanya zoezi la kukata na kuwasha umeme, sijui wana mpango wa kutuunguzia vitu vyetu ambavyo tumenunua kwa...
Wasalaam,
Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.
Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki...
AFISA MANUNUZI ANAANDIKIA KUNUNUA VITU AMBAVYO VIPO STOO
"Hospitali ya Wilaya Rorya imejengwa kwa miaka 10, na inashindwa kukamilika kwa sababu ya utaratibu wa manunuzi waliouweka. Na utaratibu huu wanaoufanya Hospitali maana yake ni nini, mtu wa manunuzi ni yuleyule, engineer ni yuleyule ambae...
Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya vitu gani ambavyo Dkt. Slaa atavipoteza baada ya hadhi hiyo kuondolewa.
Mhadhiri kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam, Godwin Gonde ambaye amefafanua kuwa hadhi...
Hellow,
Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI?
Anaandika, Robert Heriel
Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi?
Ni kwamba haujui umuhimu wake?
Haya sitaki kukuchosha;
1. Huna...
Katika MAISHA
thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake .
Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
---
Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
1. JIFUNZE KURIDHIKA.
Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet kwa Tamaa, Utapunwa nakuambia.
2. STAKE KIASI AMBACHO UNAUWEZO NACHO.
Usistake kiasi kikubwa for...
1. Mpira hata home kuwe na flat nchi 100 mpira unanoga bar au kwenye vibanda umiza,si ajabu mtu kupaki V8 mtaa wa pili akazama kibandani kutazama Simba na yanga Ile amsha amsha,vuvuzela , makelele ndio utamu wenyewe wa mpira.
2. Bia ukinywea nyumbani ugeuka juice ya miwa, Utamu wa bia bar au...
Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa.
Mimi Kwa utafiti...
Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii.
Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha.
Gharama za kugharamia...
Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
Hello 👋
Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu
MB?
Dakika za maongezi?
SMS?
Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.