Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi .
Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani .
Ni Kijana smart ,humble and goal...
Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu.
Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa.
Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri...
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
Ukiona
1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex.
2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga
3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora?
4.Mdada kavaaa nguo fupi anatembea moja kwa moja jua anauza papuch
5. Mwalimu kwa hasira kabeba fimbo anaelekea darasani...
Kumekucha kumekucha
Gambo
Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
Waswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema.
Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa
1. Akili,
2. Uzuri,
3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila...
Habarini wakuu,
Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:-
1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18
Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono, Uti, kaswende na mengineyo.
Jua ya kwamba mimba inaeza kutokea na sio kuanza kulaumu vidonge na...
AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda.
Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa.
Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri...
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo
NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu,
Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
Habari za muda wakuu wa Jf....
Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu...
Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
Leo tujifunze kuhusu interview au usaili
Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto hasa ukiwa huna uzoefu na namna ipi ya kukabiliana na interview.
Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa na kukufanya ujihisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.