Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo.
Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania"
Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo.
Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu.
Ukipitia...
Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni hela ndogo tu. Kwa mfano mtu yuko tayari kuangalia ads kila baada ya dk 5 kwenye boomplay au Spotify...
Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake.
Utata usiomithirika.
•Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia.
Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?.
Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini.
Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za min -me na raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum kuna timeline 12 zote na ubaya zote ni za hao watu nakerekwa sana aisee 😬😬😬😬
Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.
Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako.
Kama...
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (alidhike kitandani)
3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie...
Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi
Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha Maisha.
Mfano wa mashujaa watatu wa Daudi
Hebu tuangalie mfano kuhusu Daudi, kupitia Mfalme wa pili, aya ya 23.
2Samweli 23:15 Daudi akatamani, akasema, laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha...
Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau...
Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia
1. Kufika South Africa
Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni,
Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap bondeni,
Tulipachukulia ni karibu kiumbali na ni rahisi kufika.
Hadi Leo South Africa naiona kwenye...
Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi.
Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi, ilikuwa hivi siku moja kabla ya mtanange majenerali wa Uajemi ( Iran ya sasa) wakatuma makachero...
naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko.
Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.