Nimehama makazi ila kuna vitu vya ndani sijahama navyo hivyo navitoa bure kwa mtu anahitaji(mwenye shida kweli) au kama unamjua anayehitaji.
-Godoro zima kabisa
-Nguo- mashati, Tshirts na surual, nguo nzima ila tu ni za kufua
-vyombo vichache vya ndani
Mtu awahi kabla sijakabidhi chumba...
Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri
Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute
NISHTUENI WAZEE
JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi.
"Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
Wakuu, kwema?
Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako.
1. Picha za Ukutani
Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na...
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na mtamzamo wako unahisi ni kipi kati ya hivyo ni vya kuzingatia zaidi?
1. ECONOMY STABILITY(UCHUMI)...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere.
Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko.
Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto.
Hata...
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.
Sio kwa ubaya ningeweza...
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato.
Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Salamuu wakuu,
Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu
Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
• Kiasi cha fedha unachokisotea kuna watu walizishika na wengine ni fedha ya kuhonga au ya kufanyia birthday tu.
• Elimu unayoisotea kuna mtu atakupa karatasi kwamba umehitimu, maana yake yeye alishapita hiyo level na hakuridhika nayo.
• Cheo kikubwa duniani kwasasa ni Urais, ni cheo ambacho...
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako.
1. PESA/ MALI
Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI.
UTANGULIZI:
Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
Mtaani kuna mambo yanafurahisha sana mimi napenda kula hasa asubuhi nile supu juice ya passion ama parachich na Mihogo ama Maharage na mayai pia napenda kushabikia yanga team napenda kucheza mziki hasa amapiano za south ama tamaduni muzik au old bongo fleva pia napenda na pombe pia stripchart za...
Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331);
Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa,
ila Filbert Bayi ni...
Sema kweli mimi huwa nashindwa kuelewa watu, nashindwa kabisa sometimes hata kuchangamana na aina flani ya watu kwasababu najua tu hawana manufaa. Sipendi kuongelea watu na kujudge wafanyacho, ila percent kubwa ya watu wanizungukao huishi hivyo
Hii hunipelekea kuwa mpweke mda mwingi ila...
Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo.
1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations.
2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.