Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
Hizi muvi unazoaziangalia ndio zimekupa picha kwamba CIA ni lidude likubwa sana. Hizi muvi ndizo zinakupa maarifa kuona kila kitu kinawezekana.
Kupitia muvi, wanaeneza uchoko, na kwa bahati mbaya watoto wako wakiziangalia, baadaye wanakuwa machoko. Kila propaganda duniani, huanzia kwenye muvi...
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.
Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?
Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
Yah, navidhania na sidhani kama ndio havijakuwepo. Vipo. Mfano;
1. Nimetokea tu kuwaza kwa nini watu wanakufa. Napata jibu kuwa hakuna kifo cha bahati mbaya. Unaweza pia kuepuka vifo. Vifo kwa maana majaribio ya uhai wako kukutoka sio mara moja. Pengine tungeoneshwa tungeshangaa.
2. Tunaishi...
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
Hello,
Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000.
Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000.
Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
Wana zengwe
Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi...
Salaam,
Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂
Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani
Sikiliza matumizi ya dola 1
Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini.
Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao.
Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu.
“Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu.
Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka.
Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover.
Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942
Duka lipo Arusha mjini.
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
1. Kudhibiti ulimi.
Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya
2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni.
3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi.
4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka...
JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA
Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za kisasa na za njia nne hadi nane ni mradi wa maendeleao ya vitu ambayo sasa inatumika kuibana CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.