Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu serikali biden,kwamba ilishusha viwango vya ajira za air yrafic controllers na mawaziri wake wawili...