Kelele nyingi sana zilipigwa kwamba kuna viwanda vingi vilijengwa awamu iliyopita lakini hivyo viwanda mbona hutuvifahamu au ilikuwa ni habari ya guantity sio quality!
Kiwanda kimoja tu cha kuzalisha saruji cha tajiri Dangote kilichojengwa awamu ya mkwere kule umakondeni si tu kinajulikana Tz...
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo...
Wana jf
Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.
Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.
Baadaye kidogo...
Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa.
Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi.
===
Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naorodhesha kwanza...
Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu.
Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44.
Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
Ni kitu kimoja kizuri kuangalia sekta ya viwanda nchini kwetu sio kwa idadi ya majengo ya viwanda bali uzalishaji ambao unafanyika katika viwanda hivyo.
Uzalishaji unapoongezeka ni wazi tutakuwa tunaweza kuuza nje zaidi, na bidhaa za viwandani zinazouzwa nje katika taarifa za BoT huwa zipo...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii.
Taarifa zaidi:
Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka!
Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara.
Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma.
Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeanza mchakato wa uanzishwaji wa viwanda vya utengenezaji wa simu janja ndani ya nchi vitakavyowezesha upatikanaji rahisi wa vifaa hiyo.
Waziri Dk Faustine Ndugulile alisema hayo jana wakati wa kikao kazi na wenyeviti wa bodi na wakuu wa taasisi...
Habarini za Leo wapendwa.
Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini...
Habari za leo wakuu,
Uzii huu utakuwa maalum kuijadili sera yetu ya viwanda.
Bila kutukana wala kumnyoshea mtu yeyote kidole, naomba kila mmoja atoe maoni yake.
Mada: Wewe unahisi sera yetu ya viwanda ina mapungufu gani?
Zingatia ili taifa letu liweze kuendelea linahitaji kuwa na sera bora...
Vijana wenzangu kwema?
Hiki kipindi napenda kukibatiza jina kutoka MITANO TENA mpaka SHIKA ULICHONACHO.
Kama una ajira shikia hiyo ajira yako, kama huna kazi basi shikia papo hapo. Una biashara shikia(chunga) biashara yako.
Huna biashara basi shikia papo hapo.
Rafiki yangu ana vichekechea 3...
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.
Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika.
Maonesho hayo...
Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini.
Wakulima wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.