Nawasalimu sana mim ni kijana mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa nlizaliwa miaka ya 90's baba yangu alikuwa ni mfanyakazi wa idara ya maji miaka hiyo ila tulivoambiwa na mama yetu kuwa aliachaga kazi yey mwenyew baada ya kuacha kazi...
Najua wapinzani walipiga sana kelele kuwa serikali haijafanya kitu. Na Waziri akajikuta anatoa siri ya kujenga viwanda 4000 na ajira zaidi ya milion 3.
Sasa nadhani tunapoenda kwenye uchaguzi Serikali iviweke wazi viwanda hivyo watu wajionee.hawa wapinzani wana ujinga wa kupinga kila kitu...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake
Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa
Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
Habari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho...
Habari wanaJF,
Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu.
Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba
Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka
#hapakazitu
#MATEGE
Anaandika John Sm Mgejwa
Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.
Bidhaa mfano:
Vifaa vya ujenzi
Vyombo
Vifaa vya simu
Vifaa vya usafi
Pembejeo za kilimo
Furniture
Nguo
Simu
Spair parts
Nk
Nawakaribisha wenye viwanda na...
Hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani na inayotumika kisiasa kuwatesa wapinzani Je, haiwezi kusaidia viwanda vya sukari kuzalisha kukidhi mahitaji ya ndani na kuzalisha ziada?
Nchi kama Uganda ndio ya kuisaidia Tanzania Sukari na hawajawahi kuwa na uhaba wa sukari, je wao ndio wanayo...
Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
Moja kati ya kitu cha kuangalia ili kujua kama tuna uchumi wa viwanda ni kuangalia kiwango ambacho tunazalisha ndani ya nchi, ambacho kwa kupitia viwanda tunaweza kuwa na uuzaji mkubwa wa vitu hivyo nje ya nchi na kufanya uchumi kukua kwa kasi.
Awamu hii ilikuja na kauli ya Tanzania ya viwanda...
Deregulation of sugar industry will see the economies of scale and market competitiveness transfer relief that results into lower prices to final consumers.
In order to protect local industries, govt have been placing quotas or embargoes to the importation of sugar something that has resulted...
Wassalam wana-JF,
Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.