viwanda

  1. Wakusoma 12

    Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  2. Me too

    Jengeni viwanda muajiri vijana sio shule wakasome watoto

    Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali. Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo. Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo. Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
  3. J

    RC Chalamila: Nimemwandikia barua Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda aitishe kikao cha wadau kujadili bei ya Saruji!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo. Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo...
  4. P

    Serikali ikimulike kiwanda cha nguo cha urafiki. Huu ni ushauri wa bure kwa waziri wa viwanda atakayeteuliwa

    Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
  5. Naanto Mushi

    Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea

    Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
  6. J

    Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

    Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania. 1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani 2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha 3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara 4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na...
  7. B

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na sera ya Tanzania ya viwanda

    Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi. Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
  8. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  9. M

    Naomba kujua, ni viwanda vingapi vimejengwa mkoani Singida kati ya mamia ya viwanda vya Awamu ya Tano?

    Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015! Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii. Kongole kwa CCM! Binafsi napenda kujua kwa upande wa Mkoa wa Singida hivi Viwanda vimejengwa Vingapi na wapi!? Ni...
  10. FrankLutazamba

    Nashauri viwanda vya bia vianze kutengeneza bia chupa moja yenye ujazo wa bia mbili ili kuwapunguzia wahudumu nenda rudi...

    Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
  11. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
  12. Victoire

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  13. 911sep11

    Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  14. J

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

    Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa. Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu. Watanzania siyo wajinga. Maendeleo hayana vyama!
  15. Sami Omary Khamis

    Baadhi ya viwanda vilivyozinduliwa na Rais Magufuli kati ya mwaka 2017 na 2019

    Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es...
  16. Q

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  17. RUSTEM PASHA

    Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

    Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda. Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
  18. Richard

    Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Hatutaki viwanda vinavyotugeuza watumwa na mateka wa nchi yetu wenyewe

    Na, Robert Heriel Je, sisi ni watumwa? Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule? Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa? Mada hii ni chungu, kama huna uvumilivu naomba uishie hapa. Lugha itakayotumika ni lugha ngumu, lugha isiyopendeza, kwani...
  20. Babu sea

    Viwanda kipindi cha Mkapa havikua na maana lakini hivi sasa ni vya msingi

    Kama mada inavyo jieleza hapo juu ni nitaanzia awamu ya tatu kipindi mkapa anabinafsisha viwanda. Sababu za Ben kubinafsisha viwanda zilikua kweli kwa wakati ule lakini sasa hivi wakati umebadilika sasa ni wakati wa sr ya awamu ya 5 hata mkapa alisema kila zama na kitabu chake kwasasa ni kitabu...
Back
Top Bottom