Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma.
Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...