Na, Robert Heriel
Je, sisi ni watumwa?
Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule?
Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa?
Mada hii ni chungu, kama huna uvumilivu naomba uishie hapa. Lugha itakayotumika ni lugha ngumu, lugha isiyopendeza, kwani...