Urusi ilishindwa kutumia fursa yake vizuri pale mwanzo mwanzo ilipoanza kuiparamia Kyiv, wakati huo bado ilikua inaoopwa na kuonwa kama supapawa, leo hii imejikuta inapambana kujitetea badala ya kushambulia, wanajeshi wanakufa na kufukuziwa huku wakirudi nyuma, Ukraine inazidi kujiboresha...