viwanja vya bata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

    Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
  2. JamiiForums Tanzania Ni miaka saba imepita tangu niage Arusha 2016, kipi kimebadilika hadi sasa?

    Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 - Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco. hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…