Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
 
Wanangu nipeni basi location kibaha sehemu Gani maana naona yaliyokomenti mpaka Sasa yote mazee
 
Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
Nenda Kongowe complex pub, ipo barabarani kabisa,ukishuka tu hapo Kongowe (upande wa kushoto ukiwa unatokea mjini), ukiuliza tu, mtu anakuonyesha ni barabarani kabisa hamna haja ya kupanda boda hata. Kuna kila kitu pale pamoja na watoto wazuri.
Arsenal Gunner
 
Back
Top Bottom