Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
Mimi ni fataki, hivyo mtoto wa shule wa kike akijitokeza mbele yangu huwa simwachi salama.Kwanini ukomenti kwenye Uzi wa mtoto wa shule huoni kwamba ni ukubwa jinga
Mbona huu Uzi haifunguki ?HABARI WANA JAMII FORUM
“Mwenyezi Mungu hupitisha riziki kupitia watu. Kama leo kuna atakayeniona hata kwa 5,000, nitamshukuru sana. Mungu akubariki anayesoma.”www.jamiiforums.com
Kumbe ndio yeye ! karibia kila mwezi anabadilisha username na nyuzi zake za Kipimbi full majigambo na madharauHalafu kila mara hua anabadili jina la ID yake ili kuuficha uhovyo wake.
Alijiita ChiefGodlove na kujifanya tajiri kila siku kutukana watu humu na kuwaona wote ni masikini,
wana wakampa za uso akabadili jina,Hii ID imeshabadilishwa jina zaidi za mara 7
akili uliyotumia kuandika hapa nayo ni akili ya bata.