Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

Nenda pale kwa Mama kubwaa, anauza kila kitu unachotaka
 
Kumne kibaha kuna maeneo ya kula bata mm naonaga tunaamka na kulala tu sana sana ukitoka ni kibaha mall
 
Mkuu Wala usihangaike sana. Nenda hapo Container bar. Ipo mailimoja stendi ya zamani. Utainjoi sana pisi za KIBAHA.
 
Kuna watu wanaitwa bodaboda, ndio wenyeji watakupa code zote popote uendapo nchini, na sio wachoyo kabisa. Huku JF unajipotezea mud na kujichoresha tu
 
Hawa wavulana wanaona mademu ni big deal
Yaani kidume atakuja vipi mtandaoni kusema mademu wanamkataa
Kwanza mtoto wa shule na mademu wapi na wapi. Mademu wanamkataa kwa sababu yeye bado ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Ngonja warudi tu skuli kesho kutwa maana wanatusumbua tu humu.
 
Sasa wewe watoto wakali wa nini wakati ukiwatongoza wanakukatalia tu
 
Shule zifunguliwe tu
Huyu jamaa ana andika nyuzi za ovyo mno
Halafu kila mara hua anabadili jina la ID yake ili kuuficha uhovyo wake.

Alijiita ChiefGodlove na kujifanya tajiri kila siku kutukana watu humu na kuwaona wote ni masikini,
wana wakampa za uso akabadili jina,Hii ID imeshabadilishwa jina zaidi za mara 7
 
JF VAR CHECK

Point Yako ni Nini mbona hueleweki mzee
 
JF VAR CHECK

Shida nini mzee
 
Kwanza mtoto wa shule na mademu wapi na wapi. Mademu wanamkataa kwa sababu yeye bado ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Ngonja warudi tu skuli kesho kutwa maana wanatusumbua tu humu.
Kwanini ukomenti kwenye Uzi wa mtoto wa shule huoni kwamba ni ukubwa jinga
 
Back
Top Bottom