Kutokana na na hadhi ya majina yake, nashauri viwanja hivi vipanuliwe na viboreshwe keundana inayoendana na hadhi majina yake:
(1) Uwanja wa Karume - Dar
(2) Uwanja wa Sokoine - Mbeya
(3) Uwanja wa Nelson Mandela - Sumbawanga
(4) Uwanja wa Kawawa - Kigoma
(5) Uwanja wa Ali hassan mwinyi -...