vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vyakula vya kukaanga sio vizuri kwa Afya

    Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips. Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee huruma tubadilike tuwe na ukili vyakula tunavyo vingi sana vya asili haiwezekani unafurahia kula...
  2. Ukiwa huna pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri zaidi

    Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au haukopesheki kopa kipindi ukiwa na Pesa.
  3. Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

    Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu. Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake. Kipi kimemkuta Rais...
  4. Moyo wangu unasuuzika sana ninapokua faragha na wanawake wa namna hii

    "Kipendacho roho hula nyama mbichi" Kila mtu/ binadamu hufurahia tendo la ndoa anapokua na mtu ampendae. Binafsi NALIA NGWENA ninapokua na date na msichana(mwanamke) wa hivi moyo wangu hufurahia tendo mno Tena mno. 1. Black woman, hakika hii rangi huwa naipenda sana, maji ya kunde, weusi wa...
  5. Siku ya Mazingira Duniani: NEMC yaipongeza Muhimbili kwa kutunza mazingira vizuri

    Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
  6. Mwanaume kama hauli vizuri ukashiba basi kuna hatari kubwa Mbele yako

    Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe. Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa. Familia inakutegemea utumie nyuvu...
  7. Bounou wa Sevilla, golikipa anayeijua vizuri saikolojia ya kudaka penati

    Wengi wanaamini upigaji penati ni bahati zaidi ya ufundi ila mimi napingana na hiyo dhana. Nikiwa mtu niliyecheza mchezo huu wa football kwa kiwango kikubwa sana katika nafasi tofauti uwanjani na kuna wakati nikawa hadi kocha, nina uwezo wa kulizungumza hili kwa uhakika na kujiamini maana najua...
  8. S

    Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

    Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo...
  9. T

    Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

    Mh Rais Samia Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara. Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi...
  10. Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  11. Tutumie njia hii kutumia muda vizuri

    I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda. Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
  12. Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  13. Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

    Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, no malaria no UTI. Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahueni. Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana.
  14. R

    Kwangu mimi naona Zito ameongea vizuri kabisa, nasaha nzito Msiba wa Membe

    Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
  15. Nini Kauli ya Serikali Kuhusu Makato ya Tozo na Mtandao Kutokufanya Kazi Vizuri

    MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  16. SoC03 Utakufa! Nitakufa! Tutakufa! Maisha mapito duniani tuishi na watu vizuri

    Maisha ya sasa duniani yamekuwa kama uwanja wa vita. Binadamu tumeendekeza maisha ya duniani na kujijengea himaya zetu kana kwamba tutaishi milele. Hebu jaribu kutafakari visa vinavyotokea kila siku; Mauaji ya kinyama kwa kulipiza visasi. Wizi wa mali ulikithiri ( especially kwa viongozi wa...
  17. Katika hili mimi nasimama na Mbowe, hakika jamaa kakomaa kisiasa na anaijua vizuri siasa

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya kuendelea na mada hii ningependa watu wengi wafahamu kwamba mimi nimeandika mada hii kwa utashi wangu mwenyewe. Sikushawishiwa, sikulazimishwa wala kushikiwa akili na mwanasiasa yoyote iwe wa upinzani, wa CCM au wa kujitegemea. Bali nimeandika hili...
  18. Elewa hivi ili usiwakatishe tamaa wengine ili ujisikie vizuri/ uonekane bora

    Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
  19. Kampuni inayohusika na 'wrong parking' iangaliwe vizuri

    Ni hawa jamaa ambao yard yao ipo pale jirani na bohari ya msd. Utawakuta mjini wamevaa sare za suruali yeusi na shati jeupe. Wengine wana tshirt nyekundu. Na usafiri wao mkubwa ni bajaji. Kiukweli watu hawa ni janga la jiji. Kwanza wana hasira hao! Wengi ni kanda maalum. Wakishashika gari yako...
  20. Muundo wa Jeshi la Uhifadhi Unafanya Kazi Vizuri

    MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…