vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  2. Poppy Hatonn

    Rais Samia anasimamia fedha za Serikali vizuri kuliko Hayati Magufuli

    Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere. Swali tu ni kwamba...
  3. Dr Matola PhD

    Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  4. beatboi

    Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  5. MwanawaMUNGU41

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  6. ChoiceVariable

    #COVID19 WHO: Tanzania Kinara Wa Utiaji Chanjo za Uviko-19 Barani Afrika

    Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo. ===== Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health Organisation (WHO) now ranks the country as the best performer in Africa in increasing Covid-19 vaccination...
  7. Dasizo

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
  8. Lycaon pictus

    Jonathan Majors alikuwa anaenda vizuri lakini sijui shetani gani kampitia?

    Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa kijinsia. Akatupwa na ndani kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake. Baada ya kesi hiyo wmetokea wanawake...
  9. comte

    Prof. Kitila Mkumbo: Kutoa ajira 21,000 ni ishara uchumi wetu unaenda vizuri

  10. Stephano Mgendanyi

    Mradi wa BBT Usipofanya Vizuri Tutawalaumu Wizara ya Kilimo

    KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo. Kauli...
  11. Stephano Mgendanyi

    Jafari Wambura: Simamieni Fedha Vizuri Msisubiri Ripoti ya CAG

    MHE. JAFARI WAMBURA - SIMAMIENI FEDHA VIZURI MSISUBIRI RIPOTI YA CAG Mbunge wa Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege tarehe 18 Aprili, 2023 amechangia bajeti ya TAMISEMI ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma Mhe. Jafari amesema Rais...
  12. Mkanganyiko kukanganya

    Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  13. La Quica

    Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  14. marehem x

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  15. Stephano Mgendanyi

    RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  16. T

    Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  17. ChoiceVariable

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  18. Carlos The Jackal

    Kwanini Nguvu kubwa inatumika kuonesha Rais Samia hafanyi vibaya?

    Siku zote kazi nzuri inajitangaza, Hayati JPM hayupo lakini kila siku anatangazwa, anatangazwa kwa sababu ya kazi zake ambazo ni alama. Huwezi mdanganya hata Mtanzania wa chini kabisa kumuhusu JPM. Kwanini kwa Rais Samia inatumika nguvu kubwa sana kumtangaza ili aaminiwe?
  19. GENTAMYCINE

    Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  20. Intelligent businessman

    Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

    Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia. 👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake. 👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama...
Back
Top Bottom