vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best Daddy

    Watanzania na Tafsiri ya Tumecheza Vizuri: Tambua kuna Successful na Unsuccessful Possession

    Imekuwa ni rahisi sana kwa mashabiki wa Timu za Kariakoo, kuamini au kuaminishwa timu yake imecheza vizuri kwa kigezo cha ball possession pekee, haijarishi imepata matokeo gani. Naomba nikusogezee hii fact, kuna successful ball possession and unsuccessful ball possession. Tuanze kuzichambua...
  2. M

    Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

    Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa. Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa...
  3. D

    Fedha za Plea-Bargain aulizwe Balozi Mbelwa Kairuki, anajua vizuri sana

    Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela...
  4. comte

    Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

    Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
  5. Bishweko

    Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  6. Kidagaa kimemwozea

    Kiswahili hakiwezi kukua vizuri Kama Sisi bado ni maskini

    Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia. Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni wake hivyo kuikwepa katika matumizi yake ya kila siku Kama vile elimu nakadhalika. Hapantunaweza...
  7. B

    Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

    Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi? Naomba kujuzwa tafadhali
  8. R

    Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  9. system hacker

    Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

    Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
  10. F

    Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  11. Thailand

    Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  12. gogo jr

    Kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?

    Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili? Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala kwa weledi mzuri kuna magonjwa mengi yanatibiwa na miti shamba, magonjwa ambayo hosptali yanapigwa...
  13. kyagata

    Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

    Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama...
  14. Anna Nkya

    Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  15. mcshonde

    Messi na Ronaldo walivyokutana

    Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
  16. Pang Fung Mi

    Wanawake wahaya mbarikiwe alowafundisha kupapasa mgongo vizuri tukiwa juu aishi milele

    Wasalaam, Jamani Kwa uchache hio ni sifa nzuri ya wanawake wa kihaya hawaboi mpapaso au mtomasowao ukiwa juu kama wote huku akiviringika, naomba kwa heshima wanawake wa makabila mengine sio vibaya mkaiga. Wadiz nikiwa katika meditation ya penzi la kihaya
  17. Unavoidable Servant

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo. Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana. Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life. Karibuni kwa ushauri.
  18. Guselya Ngwandu

    Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
  19. BwanaSamaki012

    Njia bora ya kutumia vizuri kipindi hiki cha masika ni kufuga samaki

    Habari zenu Wakuu? Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kibiashara. Kimsingi kuna aina nyingi sana ya samaki wanaoweza kufugika but...
  20. sanga kariakoo

    Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

    Anaitajika mwanamke mmoja tu Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
Back
Top Bottom