Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
Ni kwamba tu dini hizi zilianzishwa zamani sana ndiyo maana tunaona sawa. Mimi ni mkristo, lakini leo atokee Seremala aanze kusema ni mwana wa Mungu na katoka mbinguni lazima kila mtu ashtuke na kumuona hayupo sawa kichwani.
Akitokea mtu akisema anashushiwa aya na malaika kutoka kwa Mungu...
Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo
Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .
Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .
Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu...
Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli.
Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
afrika
barani afrika
chakula
hongera
ikulu
kilimo
kuhusu
mama samia
mkubwa
mkutano
msimamo
rais samia
samia
sana
siku
taifa
tanzania
tarehe
vizuri
wako
Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale.
👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa.
Uku...
Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA.
VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza
it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta...
Asalam,
Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni majanga, Mechi ya leo ilikuwa ni mechi ya vipers kutoka na point kwa namna walivyocheza.
Simba...
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.
Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.
Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama.
Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu.
Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
Wanabodi,
Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.
Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
Ushauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake.
Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM...
Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na uimbaji. Mashairi ya huu wimbo yana ujumbe mzito sana na ametumia mahadhi ya Afro-Fusion (Huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.