Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian.
Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT...
Habari,
Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana.
Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na zinalipa sana kwa Dar es Salaam.
~ Uuzaji wa chipsi (chakula kizuri) kwa ujumla.
~ Uuzaji wa nguo (za...
KAMA HAYATI MAGUFULI ANGEKUWA HAI,ZITO KABWE ANGETUELEZEA VIZURI DENI LA TRILIONI 91 LIMEFANYA NINI TANZANIA.
Leo 13:15hrs 11/12/2022
Mara ya mwisho kusikia habari ya deni la Taifa ilikuwa kwenye bunge la budget mwaka huu nilipomsikia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
Nilitafakari sana kichwa cha habari hii.
Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari.
Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara.
Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
Wakuu wa mikoa ambao hadi tumeuanza Mwezi Disemba wanachapa kazi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu je kati ya hawa ni nani aliyefanya vizuri zaidi na ni nani aliyemuangusha Mh Rais Samia kwenye eneo lake alilopewa kusimamia maendeleo ya wananchi..
1: John Mongela- Mkoa wa Arusha
2. Rosemary...
Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu.
Jikite katika kufanya Kazi na kuishi katika utakatifu.
Mungu ana tabia ya kuwashusha watu na kuwapandisha watu.
Kuna watu walileta dharau lakini muda huu wanalia na kusaga meno.
Pia Mungu akikupandisha hakikisha...
MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi kisha kuporwa Sh. milioni 60 za mwajiri wake.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
Wanajamii habari zenu wote.
Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa.
Ndugu...
Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi.
Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake.
Imagine mtu ana div one tena PCB...
To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa .
Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu.
Vijana wanapambana life goes on
Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.