vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo...
  2. Aziz Ki angefanya vizuri ikwa angesajiiwa Simba SC, Yanga wanacheza mpira wa hovyo

    Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na...
  3. Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  4. Hatufanyi vizuri kwenye Utalii wa Picha

    Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo? Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...
  5. J

    Geraruma: Sekta ya maji imefanya vizuri zaidi

    SEKTA YA MAJI IMEFANYA VIZURI ZAIDI - GERARUMA Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa, Sahili Geraruma amesema Kwa siku 195 Mwenge wa Uhuru umekagua na kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi ya Maendeleo 1293 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 650.8 Geraruma amesema katika Sekta ambazo Mwenge wa...
  6. Albert Chalamila: NMB wameniambia nikifanya vizuri watanilipia mkopo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere. Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au...
  7. Weka hapa nyimbo ya underground unayoikubali (Uzi kwa ajili ya undergrounds wanaofanya vizuri)

    Hello wakuu, mara nyingi wasanii wanaohit ndio tunaamini wanajua, kumbe wengine wanabebwa na labels, marketing, algorithms, nk. Nk. Makampuni kama Universal, Sony, nk. Nk. Yanaweza kupush mimbo ihit kumbe yana agenda zao kama za LGBTQ kina Lil nasX, Cardi b na wengineo. Mda huo huo kumbe kuna...
  8. Kazi iendelee na safari iendelee, tutafika tu. Ni wapi na kwa namna gani, tutakomaa tu!

    Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado hajakomaa vizuri... C: Atakomaa huko huko! Nakiri sikushangaa hata kidogo. Huwezi ukapanda mchicha...
  9. Hebu tumjue vizuri Jenerali aliyetoa mapigo mkakati dhidi ya Ukraine

    Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii. Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
  10. S

    Shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri.

    Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
  11. Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  12. D

    Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

    Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali! Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi! Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini) Kuna uwezekano mama mchuu aliona...
  13. N

    Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  14. Naombeni Msaada, WIFI adapter ipi iko vizuri kwenye computer?

    Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
  15. Dr. Mwaka kafuatilie vizuri kisa cha Malcolm X.

    Ni matumaini yangu wote ni bukheri wa afya, Nimejaribu kufuatilia huu mtifuano kati ya TABIBU Mwaka na viongozi wa dini (especially waislamu). Kitu kimoja ambacho Mwaka hajang'amua ni kwamba anachoongea ni sahihi 100% ila kuwasema viongozi wa dini hadharani ni mistake kubwa sana amefanya...
  16. Alikuwepo vizuri Mama Yetu

  17. A

    Kama unapenda maswala ya aviation, na hujawahi au huifahamu ndege vizuri pitia hapa

    Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake Piloti Bambi Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu Helicopter pia
  18. ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  19. Unalala saa ngapi kwa siku? Ona madhara ya kutolala vizuri

    Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku. Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
  20. SoC02 Utawala bora

    UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…