vladimir putin

  1. MK254

    Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
  2. marehem x

    Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

    Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika. Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi. Hii inasababishwa na...
  3. Kagosi DJ

    Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio...
  4. Messenger RNA

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
  5. MK254

    Putin anyong'onyea, apunguza makali kwenye hotuba yake

    Hotuba za mwanzo kwenye operesheni jamaa alikua anabwatuka balaa, vitisho na mikwara, nimemshangaa kwenye hii hotuba amekua mpole na kutia huruma, alianzisha mwenyewe, hamna namna. Halafu naona anatafuta kiki kwenye masuala ya ushoga kana kwamba hayo mabomu yake yanachambua mashoga kwenye jamii...
  6. EINSTEIN112

    Kufuatia ziara ya Rais Biden nchini Ukraine na kuahidi msaada zaidi wa silaha, Rais Putin anatarajia kutoa hotuba

    Putin has said, without providing any evidence, that in the west “even paedophilia is announced as a normal thing.” He says the west recognizes same sex marriage. He says “That’s fine. They’re adults. They have the right to live their lives. We are always very tolerant about this in Russia.”...
  7. Mrengwa wa kulia

    Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

    Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine. Belarus imeruhusu karibu wanajeshi wa Russia waliosajiliwa hivi karibuni kupokea mafunzo nchini humo, huku ikitoa karibu...
  8. Mavindozii

    Operesheni maalum ya Putin

    Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa. Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa. Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi...
  9. lee Vladimir cleef

    Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

    "Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi. Kwa mateso haya Kuna watu...
  10. kimsboy

    Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine

    Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...
  11. kimsboy

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine. Donald Trump amekuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa Rais Joe Biden wa Marekani. Aidha Trump na...
  12. Bams

    Warusi wazidi kumpinga Putin. Marekani watoa onyo kali kwa Urusi

    Katika vita, hakuna jambo baya kama kukosa uungwaji mkono wa watu wako. Kadiri siku zinavyokwenda, Rais Putin wa Urusi anazidi kupingwa na watu wake. Putin alijiaminisha kuwa vita dhidi ya nchi ndogo ya Ukraine, angeihitimisha ndani ya siku 3, na ndani ya muda huo angekuwa ameiondoa Serikali ya...
  13. TZ-1

    Kitendo cha Putin kuiitisha jeshi la akiba ni maana yake?

    Habri wajomba nazn kunawale vpanga/wachambuzi wenye IQ zao tusaidiane hapa 1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..? 2:- Huu ni mwanzo wa vita kamili kwa mrusi zidi ya NATO 3:- JESHI kamili la mrusi (activ personal lipo )? 4:- Mrusi...
  14. Mrengwa wa kulia

    Putin hana budi kuchochea vita ili anusurike

    Uhamasishaji wa kijeshi Urusi na kura za haraka za maoni katika maeneo yanayokaliwa mashariki mwa Ukraine ni ishara za udhaifu. Putin amekosea; gharama wanalipa maelfu ya Warusi kwa maisha yao. Rais Putin hawezi kurudi tena nyuma: Na ikiwa atashindwa katika vita vyake vya uvamizi dhidi ya...
  15. green rajab

    Rais Putin aziambia nchi za Magharibi kuwa Urusi ina silaha nyingi za kuwafyeka

    Putin amewaonya West kuwa Russia inayo silaha zakutosha na kuifyeka NATO ======== Russian President Vladimir Putin has announced that 300,000 reservists will be drafted into the army in a partial mobilisation, as he warned West he was not "bluffing" over nuclear weapons. Defence Miniser...
  16. kwisha

    Putin na Magufuli ndo viongozi bora wa karne yetu hii

    Sifa kubwa ya kiongozi ni kujiamini. Na hawa wa wili ni viongozi ambao mimi kwangu na amini ndo viongozi bora. JPM: Huyu ni alikuwa kiongozi sijui ni seme ni wa aina gani hasa Ila sifa kubwa yake ni kujiamini. JPM alikuwa anajiamini saana na wala hakuwa muoga kama viongozi wengine wa afrika...
  17. Championship

    Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  18. M

    SI KWELI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
  19. EINSTEIN112

    Vladimir Putin has staged drills with his road-launched Yars nuclear missiles in a forest in western Siberia

    Their 7,500-mile range means they are capable of striking the UK or anywhere in Europe. The tests come amid high tension with the West over the war in Ukraine, and against the backdrop of near-daily threats by Putin’s propagandists to deploy atomic weapons. In a statement, the Russian defence...
  20. MK254

    "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
Back
Top Bottom