vladimir putin

  1. Shing Yui

    Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani. Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea...
  2. P

    Kosa la Adolph Hitler la Septemba mosi 1939 linataka kurudiwa na Vladimir Putin

    Wanasiasa hufanya makosa mengi sana wakiwa madarakani. Wanapoyafanya huwa hawana uwezo wa kupima ukubwa na madhara ya wanachokusudia kukifanya. Ni pale wanapokuwa wanapokea lawama nyingi ndio hujisumbua kuangalia kwa kina namna ambavyo wangeweza kuzuia kile walichokifanya, wangefanya hivi na...
  3. Labani og

    Jinsi Putin alivyoibadilisha Urusi kuwa na nguvu ya kibabe ulimwenguni

    Unazima moto wa msitu, lakini bado unawaka," yalisoma maandishi juu ya picha ya mwanamke mchanga wa Kirusi, akitabasamu huku akiwa nusu uchi. Kama hii, picha zingine 11 zenye maneno ya kuudhi zilitengeneza kalenda ya mwaka 2011 iliyohusisha wanafunzi wa uandishi wa habari wa Chuo Kikuu cha...
  4. B

    Bintiye Vladimir Putin Atoweka

    Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana. Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani tu haukubaliki. Kwao kama kwetu, binti Putin yamemkuta. Binti kafanya yasiyowapendeza wenye nguvu...
  5. Kasomi

    Vladimir Putin: Niliendesha magari na teksi ili kujikimu kimaisha miaka ya 1990

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumzia majuto yake kuhusu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mwaka 1991, akifichua kwamba alilazimika kufanya kazi ya udereva wa teksi ili kujiongezea kipato. Matatizo ya kiuchumi yaliyosababishwa na kuanguka kwa muungano huo yaliwalazimisha Warusi wengi kutafuta...
  6. MakinikiA

    Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  7. The Sheriff

    Urusi: Rais Putin arahisisha utaratibu wa raia wa kigeni kupata hati ya kusafiria

    Rais Putin amesaini sheria iliyosubiriwa kwa muda mrefu kurekebisha mchakato wa wageni kupata uraia wa Urusi. Nchi hiyo kubwa zaidi (kijiografia) duniani inatarajia kuvutia hadi wahamiaji milioni 10 ifikapo 2025. Kulingana na sheria mpya, sasa ni rahisi zaidi kwa raia wa baadhi ya nchi kuwa...
Back
Top Bottom