vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  2. B

    Kanuni Mpya vyama vya Siasa zinazotaka kupenyezwa

    Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi. Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti. Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo. Pana sheria...
  3. Q

    Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  4. E

    Kanuni za Mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa zilenge kusahihisha tulikopita

    Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na kanuni hizi zilenge kutoa majibu. Tukirudi katika historia tunaambiwa miaka ya 60 na 70 tulikuwa na...
  5. beth

    Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  6. A

    Je, kuna Demokrasia katika Vyama vya Siasa?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Ndugai Uspika, tulitegemea mchakato wa kuchagua spika ungefanyika kwa uwazi na kuwepo kwa Demokrasi ya kweli, hasa hasa ktk kipindi hichi ambacho kuna kilio kikubwa kuhusu mapungufu ya Katiba yetu na usimamizi wa utendaji wa Serikali na teuzi zake. Kupendekezwa kwa...
  7. B

    Tulitumia Bunge kutaka kufuta vyama vya siasa matokeo yake vyama vimeimarika Bunge limekufa

    Kazi Bunge nikuisimamia Serikali iliyopo madarakani itende Kwa maslahi ya Taifa. Kazi hii imegeuka siyo main objective tena bali lengo kuu la bunge lililopo chini ya uongozi wa sasa na ujao nikushirikiana na Serikali. Kushirikiria maana rahisi nikutengeneza pertnership na kwenye partnership...
  8. B

    Mbona vile vyama vya siasa vidogo vidogo havihamasishi wanachama wao kuwania Uspika?

    Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa. Hujitutumua tu pale utawala unahitaji kuvitumia katika kuvibana vile vyama vya upinzani vikubwa hasa CDM...
  9. D

    Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  10. Chendembe

    Ilani za uchaguzi za vyama vya siasa zinaweza kubadilishwa baada ya kupewa ridhaa ya kutawala?

    Wajuzi wa siasa na sheria tujuzeni katika hili tujuwe na tuchukuwe tahadhali siku zijazo. Nawasilisha kwa mwongo wenu
  11. M

    Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  12. Q

    Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

    Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
  13. Q

    Maazimio ya Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wadau wa Siasa

    HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
  14. J

    IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

    === Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora, Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili...
  15. Q

    Jaji Mutungi: Mkutano wa leo Sio mkutano wa Rais na Vyama vya Siasa ni mkutano wa Wadau wa Siasa, Rais anakuja kuufungua tu.

    Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais. ====================== “Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
  16. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  17. Mzalendo Uchwara

    Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  18. Q

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

    Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
  19. T

    Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
  20. Miss Zomboko

    Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini waahirishwa

    Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu. Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
Back
Top Bottom