"Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie...
Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake.
Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
Hakuna asiyejua kuwa mikutano hii ilipigwa ban kimagumashi na mapolisi kushikilia bango na bado haki hii kikatiba imebamizwa kwa visingizio hivi na vile.
Tunahitaji Rais Samia autangazie umma kuwa haki hii ipo wazi na vyama vifanye mikutano yake kwa raha mustarehe bila ya kubugudhiwa, tupo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman...
Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera za kitaifa.
Kushindwa huku na kukimbiwa na watu mnaowakaribisha kunathibitisha political readiness...
VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona.
MbagalaZmaHome
yonapavea@gmail.com 0713802226
Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa?
1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka.
Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar.
Muda: Saa tano kamili asubuhi
Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam.
======
UPDATES;
Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.