Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati.
Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya...
Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote.
Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991.
Mwaka...
Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini ufugaji wake mwingi umekuwa wa kienyeji, Sifa inakuwa kuwa na mifugo mingi lakini ufugaji huo siyo wa...
UTANGULIZI
Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia.
Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora.
Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi.
Tawala Moja wapo ambazo...
AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge.
Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3.Viktor Orban-Miaka 28...
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema:
Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao
Source Jambo TV
Yajayo yanafurahisha😀
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
Utangulizi
Tanzania inalindwa na katiba kama sheria kuu na kilanja mkuu wa sheria zingine zote zilizopo na zitakazotungwa nchini. Maendeleo ya Tanzania yanaratibiwa na kulindwa na mihimili mitatu Serikali, Bunge na Mahakama lakini yanapangwa, kutungwa kuongozwa na kutekelezwa kwa kufuatwa...
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi.
vyama na wanasiasa...
MAKALA SEHEMU YA KWANZA:
TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE
MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS
https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s
Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.