vyama

  1. Mhafidhina07

    Nina ulakini kwa vyama pinzani wa TANZANIA, huenda ni lele mama

    World always ins't fair. Ulimwengu unabadilika kadri ya saa na dakika zikigonga tik tok muda unakwisha, miaka 10 iliyopita nilikuwa kijana wa makamo niliyependa kusikiliza sana hutuba za upinzani (CHADEMA) hoja zao was so emotionally and tactically wakiwa katika viunga vya bunge. Waliibua hoja...
  2. M

    CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
  3. R

    Pre GE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

    Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM ADA TADEA CCK NLD Demokrasia Makini NCCR- MAGEUZI TLP UPDP SAU UMD NRA ACT CUF Pamioja na Chama cha DP
  4. B

    Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  5. T

    Upenzi uliotopea na ufia vyama vya siasa ndio kiini na chimbuko la kusuasua kwa uchumi wa nchi yetu! Iko tutapatiwa kiongozi mbovu sana

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi. Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
  6. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  7. S

    Vyama vya Siasa vya Upinzani vipo wapi?

    Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo. Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
  8. Black Legend

    Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  9. Voltaire

    Kwanini Vyama vya Wafanyakazi havipigi kelele suala la Kikokotoo?

    Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi". Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae! Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
  10. Jaji Mfawidhi

    Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  11. K

    Wakati wenzetu wanaongelea katiba mpya sisi wa Tanzania tunaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️

    Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
  12. DR Mambo Jambo

    Pre GE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  13. Melvine

    Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  14. Mhafidhina07

    Kitendo cha vyama pinzani kususia uchaguzi hakina afya katika demokrasia. Suluhu ni mgombea binafsi?

    Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
  15. Mto Songwe

    Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
  16. The Sheriff

    Je, huwa unasikiliza sera za wagombea na vyama usivyoviunga mkono?

    Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na sera zile wanazozijua tu na hawajawaza umuhimu wa kufungua akili na kuruhusu mitazamo mipya kutoka...
  17. Mto Songwe

    Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

    Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura. Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
  18. R

    Kuelekea uchaguzi, vyama vya siasa viwe vitatu pekee

    Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi, nashauri yafuatayo; 1. Vyama vya siasa nchini viwe vitatu pekee. 2. Vyama vingine vifutwe au...
  19. ndege JOHN

    Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  20. K

    Vyama vya upinzani vinavyoijua nguvu ya CCM kwenye Urais vimekubali kumuunga mkono Rais Samia na vinahangaikia ubunge. Ila vingine...

    Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Kwa mtazamo wangu kulingana na siasa zetu, Kuna makundi matatu ya vyama vya upinzani. Kundi la kwanza, vyama majasiri Kundi...
Back
Top Bottom