Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata.
Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite.
Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...