Zipo seti kuu mbili za dhima za Vyombo vya Habari nyakati za uchaguzi, ya kwanza inatokana na msimamo wa Kitaaluma ikiunganishwa na Wajibu wao kwa jamii, ya pili ni wajibu wa Kisheria wa Vyombo vya Habari.
Andiko la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu Vyombo vya Habari na Uchaguzi Mkuu...
Baraza la Habari la Kenya kupitia
Idara ya Utafiti, Mipango na Mikakati ilitoa Muhtasari wa Uripoti wa Mauaji ya Wanawake nchini humo ambapo Baraza hilo lilibaini kuwa baadhi ya Vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti mauaji ya Wanawake bila weledi, hasa kwa kutoa habari zisizo sahihi, zisizo na...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima...
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5...
Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza
Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza.
Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini bado kunahitaji mengi zaidi.
Miradi mbalimbali sa serikali inakwama au kuendelea taratibu tofauti na...
Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.”
Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na...
Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki.
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yanafanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024 ni siku ya pili ya maadhimisho hayo.
Wadau watajadili mambo mbalimbali, pia kuangazia mchango wa Uandishi wa Habari na...
Mageuzi tunayohitaji ya Vyombo vya Habari katika Jamii ya Kitanzania kuanzia Sasa mpaka miaka ijayo
Mwandaaji: Johnson Paulo Meibaku
Itakapofika mwaka wa 2029, Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja yake ya vyombo vya habari. Serikali, kwa kutambua umuhimu wa vyombo vya habari...
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi.
Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari.
sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka.
Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli.
Wakati...
Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida.
Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute.
Kuna...
Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari
Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
🕰️ 7:00 Mchana.
📆 3 Aprili, 2024.
📍 Dodoma, Tanzania.
azungumza
habari
jeshi
jeshi la kujenga taifa
jkt
kujenga
kujenga taifa
sekta
taifa
ulinzi
vyombovyombovyahabari
waandishi
waandishi wa habari
waziri
waziri wa ulinzi
wizara
wizara ya ulinzi
Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi.
Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.