kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
Habari wakuu.
Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi.
Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu.
Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu
1. Ina floor area (BuiltUp area=...
Habari wadau.
Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.
Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu
Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki...
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
Ni dhahiri kabisa kuwa kuja kwa teknolojia hakujaiacha salama sekta ya uchapishaji wa Magazeti, maana kwa sasa ni rahisi kwa mtu kupata taarifa papohapo tofauti na miaka ya nyuma.
Pamoja na changamoto hii yote lakini bado wapo watu wanaoamini na wanapenda kusoma Magazeti. Kama si Mgeni basi...
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Habri!! Muda si mrefu ninaingia hapo jijini, kuanza Kazi. Kituo cha kazi kipo Upanga, Sasa nauliza wazoefu wa mjini vyumba maeneo hyo vinapatikana kwa sh ngapi?? Mfano chumba na sebule au chumba ambacho ni self au Sio self coz nataka nijue najipangaje wakuu.
Au maeneo jirani na Upanga?!
Serikali imeendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya kutolea huduma za Afya kwa kuhakikisha kuwa Vituo vya kutolea huduma za afya vinawekewa miundombinu rafiki kwa wanawake wenye ulemavu kwa ajili ya kujifungulia.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Bungeni, Aprili 14...
Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko
~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6
~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3}
~kupata...
Wote tunafahamu mwaka jana Rais Samia alipata mkopo wa civid-19 wa takribani Shilingi trilioni 1.5, fedha ambazo zimetumika kujenga vyumba vya madarasa na Hospitali.
Watanzania tukaaminishwa kuwa sasa changamoto ya madarasa na madawati imekuwa historia. Cha kushangaza kumeibuka tena wimbi la...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki.
Biashara hii ni...
Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje...
Natafuta chumba sebure na jiko kea 100000 hata ukiwa chumba na sebure iwe katika mazingira mazuri Kodi miezi mitatu iwe maeneo ya makumbusho,kinondoni,namanga,hata mwenge sio mbaya
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
Salaam wakuu,
Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu.
Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.