Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000
NB
Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.
Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.
Atakayeweka na makisio ya gharama...
P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu.
Ili kufikia malengo...
Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk.
Je, watu hawa wakiwa Mahabusu huku kesi zao zikiendelea, huchanganywa na wafungwa?
Je, wanakula chakula cha gerezani ilihali...
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba?
Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area).
Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
Habari za leo wakuu,
Kaka mijengo bado naendelea na hobby yangu ya kubuni mijengo mbalimbali kadri akili inavyo nituma.
Haka kamjengo kana vyumba viwili tu, na choo ndani kwa ndani.
Bado hakajamalizika jamani, bado naendelea kukatengeneza zaidi.
Mh tunaomba ukifika mkoa wa Tabora omba viongozi wakuambie tangu shule zifunguliwe wametatuaje changa moto ya upungufu wa madawati na vyumba vya madarasa wakikudanganya siye tutasema ukweli,
Ni ajabu na aibu sana mkoa ambao una gereza kubwa uyui, una miti mingi ya asili ya mbao watoto bado...
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au pray room.
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283...
apartment
beach
bei
biashara
buguruni
eneo
ghorofa
hai
hasara
inauzwa
kali
kariakoo
kibamba
kigamboni
kilimanjaro
kimara
kubwa
kutoka
lami
maana
maji
mbezi
mbezi beach
milioni
mita
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kisasa
nzuri
tabata
uchukue
vyumba
Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera
Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko
Pia amedai polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.