Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.
Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao.
Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
Watu wenye maarifa, elimu na ufahamu hawapewi kipaumbele sana hapa kwetu. Hawaheshimiwi, wala kuthaminiwa sana. Hii imekuwa moja wapo ya sababu za kurudisha maendeleo nyuma.
Wapo watu waliojitolea maisha yao yote kwa ajili ya kuisaidia jamii, kwa mfano madakatari bingwa wanaotibu magonjwa ya...
Yaani Mswahili (Mtanzania) akiwa na maisha ya kimasikini/kifukara kama GENTAMYCINE siku akizibahatisha/akizipata tu ghafla utamuona anaanza kubadilika kitabia kwa kuanza kuwa na maringo (majipu), dharau, sanifu na unafki mwingi.
Sijawahi kwenda au kuishi Ulaya (Marekani) na sitarajii kwenda...
Moja ya kitu kinachoniuma ni kuona huu utahira wa mambo ya ovyo yanayoendelea na ktk hili yanifanya niamini kweli kila mmoja kuna namna yake ya kuona!.
Asili yetu tumeitupa, tunaishi tamaduni za watu weupe na hicho pekee ndio msingi wa wao kuhimiza vitu vyao vya ovyo ktk Jamii zetu!.. kuna vitu...
Hapa Afrika unapozungumzia jamii ya watu walioendelea zaidi basi ni wanaijeria hata wale wambao wapo Diaspora.
Najua utakimbilia kusema kuna Black americans kina Jay Z lakini hao bado ni wachache sana hawawezi kufikia wanaijeria kina Dangote, pia huko Marekani ni jamii inayowakilisha watu weusi...
Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika.
Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao.
Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua.
Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki.
Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu.
Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi...
Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.
Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa
Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti
Gharama zinapokuwa...
Habarini,
Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk.
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo...
Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika.
China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika.
Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya...
Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu.
Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi.
Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia.
Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...