Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi...
Habari zenu jamiiforums
Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo?
Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Updates;
========
CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39
TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za...
JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi.
Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake .
Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa.
Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli?
2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja?
3. Je...
Habari wanajamvi,
Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili.
Je, washibiki...
TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021
Utaratibu wa Kushiriki
Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache.
Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo
Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili.
Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika.
Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
Geneva, Switzerland (AFP). Zaidi ya waandishi wa habari 600 wamekufa kwa ugonjwa wa corona tangu Machi 1, mwaka jana, taasisi ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari imesema ikitoa wito kwa kada hiyo kupewa kipaumbele katika chanjo.
Taasisi hiyo, Press Emblem Campaign (PEC), ambayo hufuatilia...
Waandishi wa habari wapatao 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye kazi zao ndani ya kipindi cha mwaka 2020 kwa mujibu wa shirika la kutetea waandishi na vyombo vya habari duniani, Reporters Without Borders.
Kwenye mazungumzo mafupi kwa njia ya video na DW, mkuu wa Kamati ya Usalama wa Waandishi wa...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019.
Wanahabari hao Agnes Ndirubusa , Christine Kamikazi, Egide Harerimana na Terence Mpozenzi walihukumiwa na mahakama ya mwanzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.