wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. Wasanii wa Bongo hawawezi kuimba LIVE (ukweli sio tusi)

    Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa. Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa. Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji. Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni. Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako. Angalieni...
  2. Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  3. Hivi wabongo hawafahamu Afrika Kusini ina makabila mengine zaidi ya Wazulu?

    Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60. Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu...
  4. Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana . So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless Kiko wapi
  5. Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

    WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana. Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu. Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata...
  6. Wabongo wanaofanya biashara online wengi wao wanafanya kosa hili

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema. Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE. Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo wabongo wengo wamekuwa wakifanya...
  7. Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

    Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa. Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi. Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau. Kule...
  8. Benard Morison ameisha pata Uraia wa Tanzania? Wabongo tupunguze kushobokea mno foreigners

    Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani. Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule keao wanaweza mshobokea zaidi ya Tanzania, na sujui ndio kapewa na uraia mimi sijui. All in all...
  9. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  10. Mimi nina Roho nzuri lakini Wabongo walinipa mtihani huu nikashindwa, acha wanione nina Roho mbaya tu

    Ana andika, Robert Heriel Mtibeli Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kutegemewa na ambao wanafunzi wengine walikuwa wakihitaji msaada wa Majibu kutoka...
  11. Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

    Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo. Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
  12. Tuna Wabongo wenye hii tabia ya huyu Mshamba na Mchoyo?

    Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali. Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia? Sinunui huruma. Hutasikia kwamba...
  13. Wabongo celebrity kujazana kwenye page za watu maarufu duniani ni aibu sana

    Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
  14. Wabongo watakulinda mitandaoni lakini sio wakati unatekwa

    Moja kwa moja kwenye hoja Nimeshangazwa sana na mazingira aliyotekwa kiongozi wa Chadema. Sishangazwi kwa sababu ni kiongozi wa upinzani bali ni mazingira aliyotekwa. Mimi sikuwepo, lakini najaribu kufikiria tu, iliwezekanaje? Otherwise aliyekuwepo anisahihishe. Najaribu kuwaza hivi....kuna...
  15. P

    Fid Q alifanywa nini na wabongo wa majuu

    Faridi Kubanda amejijengea heshima kubwa kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ni mmoja kati ya watu waliowa-influence wadau wengi wa muziki huo. Mimi napenda muziki ila nasikiliza zaidi hiphop. Na baadhi ya masihi ya Fid Q yalifanya nione wabongo wanaoishi nje ya bongo hawathaminiani kabisa...
  16. T

    Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  17. Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

    Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
  18. Kiswahili kinatufichia sana ujinga na ujima wetu wabongo kwa watu wa nje, sio kwa mada petty kama hizi mitandaoni!

    Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
  19. Inakuwaje wabongo mnapenda kulazimisha mambo?

    Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe? Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa mawazo,maamuzi na machaguo,tabia ya kulazimisha ilishapitwa zama zake. Nimemaliza
  20. Ila wabongo, hasa watu wa DariSalama mna nn lakini, cheki mwendokasi na huyu mwamba

    Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…