Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.
Habari wana JF wote
Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana,
Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au ushamba wangu tu
Anapost biashara yake kwenye mitandao ya kijamii kama fb, Instagram au TikTok katika...
Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
Mara utasoma " The cute baby mama"
C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo
Mara "Juma aka Simba mkali"
C.E.O wa simba fanicha kunduchi"
Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za...
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke...
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
Siku za hivi karibuni mastaa na watu maarufu Nchini Tanzania wameonekana wakitangaza mtandao mpya wa kijamii unaoitwa "Be from BetaTQ", akiwemo mtangazaji wa burudani za michezo, Shafii Dauda na Mwanasiasa, Mwanaharakati na mtayarishaji wa vitabu Yericko Nyerere wameonekana wakishawishi wafuasi...
Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa.
Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli...
Mimi si shabiki wa awa wachekeshaji wa kizazi cha sasa ambao wanatumia zaidi social media kufikisha sanaa yao. Ila nimekuwa navutiwa na juhudi zao kujaribu kusukuma kazi zao zifike kwa watu.
Inawezekana kwenye ubora bado wanajitafuta lakini wanaonesha juhudi za hali ya juu. Siku zote kwenye...
WABONGO NI WATU WA KUKUOMBEA MABAYA. DUA ZAO MBAYA NDIO MAFANIKIO YAKO.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama huombewi mabaya jua bado unasafari ndefu ya kufanikiwa. Yaani bado haujakutana na Bless za Mungu. Baraka za Mungu zinaendana na Lawama, chuki, hasidi, wivu mbaya kwa wanaokutazama...
1: Nyota
Huu ni ushirikina. Kuamini mambo ya nyota ni kuamini mambo ya kishirikina. Stori za mtu kuchukua nyota ya mwenzake au kufunga nyota ni mbinu za kutia ujinga raia ili wawe wavivu.
Unakuta mtu amekaa kizembe ukiuliza unaambiwa eti alikiwa na nyota sana huyo imechukuliwa. Hizo story...
Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar.
TUKIO:
Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi...
Unakuta mataifa mengine yalioendelea jinsi wanavyojadili mambo yao kwenye mitandao ya kijamii unafurahi.
Mfano wachina mtu akiweka video yake ya kuelezea kitu fulani Kwa lugha ya kichina wanaokuja kutoa maoni yao(wachina)wanatumia zaidi lugha ya kichina.
Hivyohivyo kwa wakorea wanatumia lugha...
Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya Ndikumana kufariki.
Ndikumana na Irene walifunga ndoa mwaka 2009 na kubatika kupata mtoto mmoja wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.