wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. Pang Fung Mi

    Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

    Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja. Very absurd and huge shame for the Country. Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao. Anzisheni uraia pacha...
  2. Mbwilimbwili

    Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  3. adriz

    Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  4. Planet FSD

    GRRM: Fundi aliyeficha siri kubwa ya ‘A Song Of Ice and Fire’ na fikira fupi za Wabongo

    George RR Martin huenda akawa muandishi wa muda wote duniani. Msipaniki… HUENDAAAAA….! Series ile pendwa ya muda wote, Game of Thrones, ikitokea kwenye vitabu kadhaa vya G RR Martin. Series ambayo baada ya wabongo kuishtukia utamu wake, ilikuwa ikioneshwa kwenye club za Masaki huko per season...
  5. Pascal Mayalla

    Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  6. A

    Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

    Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu kufanya review ya vitu hata havielewi Pia same oraimo powerbank nikakuta review ya mkenya mmoja yeye...
  7. FourTwoNet

    Wabongo bana!!!

    Yani huku bongo, mwenzetu akijaribu kujiachia na lugha ya kigeni, watatokea maprofesa wa lugha kila kona.... "Ooh! Kingereza feki..." ....."Apo kabomoa"....mara "Anajifanya"....mara "Huyu, anatuaibisha".... Maprofesa wenyewe unakuta ushamba tu, hakuna anayejua hili wala lile...akishajua kusema...
  8. Mdudu Mende

    Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  9. JanguKamaJangu

    Wanaopenda Ugomvi Kwenye Daladala Mara Nyingi Wana Msongo Wa Mawazo

    Salama wadau, kuna mambo ambayo binafsi naona hayapo sawa, inawezekana tunayachukulia poa lakini ukiyatazama kwa undani ni wazi kuna kitu hakipo sawa katika maisha ya Wabongo wengi. Tangu zamani inajulikana ndani ya daladala ni sehemu ya vituko vingi, kuna matukio mengi kwa kuwa asilimia kubwa...
  10. MK254

    Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  11. JanguKamaJangu

    Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  12. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  13. M

    Wabongo wengi wana shobo sana

    Bosses salute! Kumekuwa na katabia ka kishenzi mno kutoka kwa WaTZ wengi, eti wanaungana na wale Negros wa US kupiga vita na kukemea ubaguzi wa rangi. Kweli miTZ mingi ni mijinga mno. Sawa ulibaguliwa ulipokwenda US su UK kusoma masters, so what? Kwani lazima Wazungu waku admire? Watu...
  14. MK254

    Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
  15. Kichwamoto

    Watu wanahalalisha matumizi ya mafuta badala ya kinga (Kondom), usalama wake upoje?

    Umofia kwenu wanajukwaa Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa. Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
  16. JanguKamaJangu

    Upigaji wa GSM unafanyika kimyakimya Yanga, Wabongo wameamua kuziba masikio

    Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya. Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya. Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu...
  17. Darmian

    Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini. Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu. Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
  18. MK254

    Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
  19. MK254

    Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  20. Zee Korofi

    Hivi kwanini Wabongo hawana amsha amsha?

    Yaani Wabongo amsha amsha kwenye issues za msingi hawana kabisa, kisiasa ni kondoo ambao wanapelekeshwa kwa kila kitu. Sioni Wabongo mfano wa miamba ya akina Aristotle na Plato, mifano ya akina Lincoln, mifano ya watu wagumu waliowahi kufanya makubwa duniani. Wengi ni hodari kwenye upuuzi usio...
Back
Top Bottom