wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Dudumizi

    Opportunity ya kazi kwa wabongo wanaoishi Afrika Kusini

    Habari zenu ndugu zangu, ama baada ya salam ningependa kujielekeza kwenye mada husika. Mimi ni mbongo ninaeishi hapa Afrika Kusini, kuna salon nimefungua, so nahitaji vinyozi watatu wenye sifa tatu. 1) sifa ya kwanza kinyozi awe na uzoefu wa kutosha wa kazi hii, na awe anajua kunyoa style...
  2. M

    Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

    Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3 kwa 0 kwa Mkapa tena mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waandamizi wengine wa Serikali...
  3. MK254

    Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  4. Kasomi

    Wabongo tuache unafiki

    Bila kupepesa macho wala kutikisa kichwa Wabongo tumejariwa unafiki tena wa Hali ya juu. Hii ni juu ya tukio lililo tokea leo maeneo ya Upanga huko Dar es Salaam. Ukiangalia comment za wadau juu ya tukio hilo wanaliingiza kwenye mambo mawili tofauti. Mosi ikiwa ni siasa na pili ikiwa ni...
Back
Top Bottom