Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za...