Yani huku bongo, mwenzetu akijaribu kujiachia na lugha ya kigeni, watatokea maprofesa wa lugha kila kona....
"Ooh! Kingereza feki..." ....."Apo kabomoa"....mara "Anajifanya"....mara "Huyu, anatuaibisha"....
Maprofesa wenyewe unakuta ushamba tu, hakuna anayejua hili wala lile...akishajua kusema...