Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi.
Agha...
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme.
Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru.
Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao.
Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika.
Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni
Akasema kuwa ukiondoa...
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm
Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli
Hii njia, CCM wanaitumia sana! Utakuta kuna kamtu kamoja tu ambako kameifanya ccm kama ndio kenyewe ni...
Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini..
Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5
Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor
ukuchek serikali Ina Mipango gani na future...
Asali ya hivi vyeo inaelekea ni tamu sana, na kuvipata vyeo hivi maaskofu wanakuwa wamehastle sana,
Kinachoonekana ni kwamba wanaogopa kutoa tamko kwa pamoja kwa kutumia baraza kwa hofu ya kupoteza utamu wa hivi vyeo,
Kwa sasa ni maaskofu wasiofikia hata robo ya theluthi wamepinga waraka...
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?
Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi...
Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe.
Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
Kuna hii kitu inaitwa "Deep State", ambayo inadaiwa iko kila nchi duniani.
Baadhi huamini kwamba "Deep State" ipo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi na wananchi walio wengi.
Lakini binafsi naamini kwamba "Deep State" iko kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wachache tu wakiwamo wao.
Hii...
Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa...
UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina.
Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro.
Raccuzzo...
Moja ya mtu anayefanya kazi kubwa na kitaalam ni Nehemia Mchechu; amefanya vizuri NHC wana CCM wakamwonea wivu na kumshauri Magufuli Amtumbue. Amefanya vizuri sana kwa muda mfupi kama msajili wa hazina ; its like yeye ndiye mtu wa kwanza kuteuliwa kuifanya kazi hiyo.
Changamoto iliyopo ni...
Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili:
Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani hata umnunulie smartphone mpya, na unamtakia kila la heri huko aendako, yani anakukataa in a...
Walichoambulia ni Urusi kutoa ahadi ya kutuma chakula Somalia na mataifa mengine tano, chakula chenyewe kiduchu yaani tani 25,000 ukizingatia umaja wa Mataifa (UN) hutuma tani 725,000 Afrika hii.
Hiyo hafla iliwakilishwa na mataifa 17 kati ya mataifa 52 ya Afrika.
============================...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI.
Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari.
Ndani ya CCM...
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..
Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.