wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  2. Mchokoo

    Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

    Suala la kuuza au kutouza nafaka nje. Yaani niseme kwamba; kulingana na kiwango kidogo cha chakula tulichonacho, sikubaliani na wale wanaotaka tuuze chakula nje. Ndugu zangu msifikiri jambo hili ni rahisi kama mnavyoliona, mkaanza kuilaumu serikali kwa zuio lililopo. Mtu yeyote mwenye akili...
  3. M

    Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  4. L

    Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  5. sky soldier

    Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
  6. F

    SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  7. Nyuki Mdogo

    Wapo wachache sana wenye UZURI na AKILI kwa pamoja

    Anza kwanza kutazama kwa makini uwezo wake wa kuwwa mke na kuwa Mama wa Watoto wako. Usikimbilie kutazama makalio na figa tu Ndoa ni zaidi ya hayo. Umbo lake halisaidii chochote kwenye future yako.
  8. britanicca

    Nafasi chache uwa hazitangazwi na ikulu au press yeyote wachache ndo tunazijua kulingana na unyeti. R.I.P mshauri Mkuu wa Rais Juu ya Usalama wa Taifa

    Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla) Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya...
  9. Clepatina

    Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

    Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo. Pole sana baba.Najua hicho sicho...
  10. K

    DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  11. wilsonwizzo3

    Jinsi siasa inavyowafaidisha wachache, wengi wakitumikishwa

    Ndio, wachache wanafaidika na siasa ya Tanzania na wengi wakiitumikia kwa hasara, nayasema haya baada ya kujua wenzangu wanatajirika kupitia siasa bila jasho kumbe watu mnalipwa kupitiaha agenda za wanasiasa na hamsemi? Ndio, watu manazoa malaki kwa mamilioni ili kupromo agenda za kisiasa...
  12. Uponyaji na uzima

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  13. Nyamwage

    Huku ni kupendwa tu au ni kweli sisi ni wachache hapa TZ na dunia kwa ujumla

    Habari? Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka unioe, namaanisha mwamke ambae kaisha kua na akili timamu maana jinsia yao inapataga ukomavu wa akili...
  14. system hacker

    Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  15. W

    Prof. Mkenda, hivi Rais Samia anajua hizi shule zinazofunguliwa hazina walimu na wanagawana walewale wachache?

    Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini). LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na...
  16. system hacker

    Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  17. NetMaster

    Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  18. RugambwaYT

    Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  19. comte

    Hivyo ndivyo pengo la wakenya wachache wenye ardhi na wakenya wengi wasio na ardhi lilivyozaliwa

    Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana. --- Secret land deal that made Kenyatta first president Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
  20. mtwa mkulu

    Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

    Wakuu salamu, Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela. Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua. Changamoto: Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto...
Back
Top Bottom