Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.
Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa.
Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha?
Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani&url=https://udadisi.com/nchi-yetu-ina-uhuru-uhuru-wa-wachache-mazungumzo-na-wavujajasho-wa-manzese-na-jangwani/
“Nchi yetu hii sisi ina uhuru. Sasa mbona ina uhuru wa watu...
Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
SALAM,
Awali BANDIKO hili nililiandaa kwa ajili ya stories of change hata hivyo kutokana na kukosa muda nikajikuta tarehe ya mwisho ya kupokea maandiko imeshapita!!! Sasa naomba kulileta kwenu kama forum ya elimu (kujifunza) na kujadiliana na kuona namna bora ya utekelezaji wa hili kama nchi...
"Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu"
"Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao.
Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17.
✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14.
Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
Definition ya mafanikio ni kubwa sana, inategemea na mtu anaonaje mafanikio lakini uhalisia unabaki kuwa mafanikio ni pesa/umiliki wa mali.
Nimekaa sehemu nikaona vijana wanatembeza muha wanakata vipande 100/200 nikaingia kwenye tafakuri nzito kidogo.
Muhubiri 9:11
Nikarudi nikaona chini ya...
Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana na hizi shule za Serikali.
(1) Hivi kama tunalipa tozo kwenye simu hadi umeme serikali inachukua...
TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!?
Leo 14:40hrs 20/08/2022
Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.
Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.
Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.
Epa, Kagoda...
Habari wana JF ,
Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu .
Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana.
Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake.
Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana.
Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini...
Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.
Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.
Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.
Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta.
Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi.
Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya...
Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.