Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya
Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya sasa pengine itarekebishwa kidogo, ila haitakuwa na uhuru, lakini Chadema watabadilisha gia angani...